Matumizi ya Nukuu za Somo katika Ufundishaji na Ujifunzaji

DSC06283

Matumizi matano (5) ya nukuu za somo katika ufundishaji na ujifunzaji.

(a). Humwezesha mwalimu kutumia maudhui aliyoyaandaa mahsusi kwa kuangalia dondoo zake.

(b). Humfanya mwalimu kufundisha kwa uhakika na kujiamini

(c). Humsaidia mwalimu kukumbuka alichokisahau au alipokwama wakati anapofundisha.

(d). Humsaidia mwalimu kuwapa wanafunzi muhtasari au kumbukumbu za somo.

(e). Humsaidia mwalimu kuelewa mahali alipofundisha na kazi alizowaachia wanafunzi.

(f). Humsaidia mwalimu kuonesha uelewa wake kuhusu mada hiyo na jinsi alivyowaelekeza wanafunzi wake.

(g). Humsaidia mwalimu wakati wa kuandaa andalio la somo.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

One thought on “Matumizi ya Nukuu za Somo katika Ufundishaji na Ujifunzaji

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.