Utamsaidiaje Mwanafunzi mwenye Tabia ya Ukimia Darasani?

166520_373381459424873_1954327802_n

Mbinu tano (5) zinazoweza kutumika kumsaidia mwanafunzi mwenye tabia ya ukimya ndani na nje ya darasa.

Kwanza: Kushirikiana na wanafunzi wakati wa kufundisha katika kuweka malengo ya somo wazi na kupanga pamoja nao mchakato wa kuyafikia. Hii itawajengea wanafunzi wako uwezo wa kuweka malengo katika maisha na kuyatekeleza.

Pili: Kuwapa wanafunzi nafasi ya kujenga hoja zenye uthibitisho kuliko kudhani. Mwalimu anweza kufanya hivyo kwa kuwapa wanafunzi wako maswali yanayohitaji mjadala, kuwaongoza kuthibitisha hoja zao na kutoa mapendekezo ya hoja wanapojadiliana.

Tatu: Kutoa mazoezi yatakayomfanya mwanafunzi kuwa mdadisi na kuwapa wanafunzi fursa ya kuuliza maswali ili kuwajengea uwezo wa kufikiri kwa kina.

Nne: Kila mwisho wa mada, kujadiliana na wanafunzi ujuzi uliojengeka katika mada husika (stadi, maarifa, mwenendo na vitendo).

Tano: Kuwaongoza wanafunzi kuhusisha mada husika na maisha yao ya kila siku

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.