Jedwali la kutahini ni nini?

—gh

Hii ni chati inayohusianisha ujuzi/malengo na maudhui/mada husika.

—Lengo lake ni kutoa uwiano kati ya kile kilichofundishwa na kile kinachopimwa.

—Mtihani ni lazima uonyeshe uwiano uliopo kati ya maudhui na ujuzi kulingana na umuhimu wao wakati wa ufundishaji.

—Maudhui yaliyopewa kipao mbele katika ufundishaji hayana budi kupewa kipao mbele katika mitihani pia.

Uundaji wa jedwali la kutahini

—Huhusisha:

 1. Orodha ya ujuzi/malengo
 2. Orodha ya mada/maudhui

 3. Jedwali la kutahini

—Bainisha uwiano wa maswali kwa kila ujuzi/malengo na maudhui.

—Vigezo vya kuzingatia:

 1. Umuhimu wa mada/maudhui.
 • Muda uliotumika katika kufundisha.

 • Umuhimu uliozingatiwa na wakuza mitaala.

 • Ufafanuzi

  —a). Baanisha mada zitakazopimwa.

  —b). Kadiria muda uliotumika kufundisha mada husika.

  —c). Kokotoa asilimia ya muda uliotumika kufundhisha mada fulani kwa kugawanya kwa muda wa jumla. Mfano katika mada ya Usahihishaji, muda uliotumika ni masaa 6, hivyo 6/16×100 =37.5%

  —d). Bainisha ni maswali mangapi yatakuwepo kwenye mtihani.

  —e). Kokotoa idadi ya maswali kulingana na muda uliotumika kufundishia mada husika.

  —f). Kokotoa idadi ya maswali kulingana na muda uliotumika kufundisha mada husika. Mf. 37.5% ulitumika kufundisha mada ya Usahihishaji. Zidisha 37.5% kwa 100 = 37.5 ambayo ni kadiri ya maswali 38.

  Hatua inayofuata

  • —Gawanya maswali kwa uwiano kwa malengo/ujuzi na mada husika.

  Author: Sir Gunda

  A Friend of Education

  Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

  Fill in your details below or click an icon to log in:

  WordPress.com Logo

  You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

  Google photo

  You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

  Twitter picture

  You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

  Facebook photo

  You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

  Connecting to %s

  This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.