Tunapotoa zoezi au jaribio au mtihani, je tunapima mafanikio ya mwanafunzi au tunapima utendaji wa wanafunzi? Eleza

Tunapotoa zoezi au jaribio au mtihani, je tunapima mafanikio ya mwanafunzi au tunapima utendaji wa wanafunzi? Eleza:

8

Katika ufundishaji na kujifunza kwetu tunapima vyote viwili, mafanikio ya wanafunzi na utendaji wa wanafunzi.

Hatuwezi kutenganisha upimaji wa mafanikio na upimaji wa utendaji.

Baada ya kufundisha somo au mada Fulani upimaji kiasi gani wanafunzi wameelewa hufanyika. Kwa maneno mengine, tunapima wanafunzi wanaweza kufanya nini kutokana na wanavyofundishwa.

Kumbuka kuwa tunapima ngazi ya chini na ngazi ya juu za upeo wa akili (kumbukumbu, ufahamu, uchambuzi, uunganisho na tathmini).

Wakati wa kutoa ripoti za maendeleo ya wanafunzi kwa kawaida ni vizuri kutumia utendaji wa wanafunzi.

Hatumtumii mzazi matokeo ya mwanafunzi bali maendeleo ya utendaji.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.