WALIMU TANZANIA NZIMA WAAPA KUMPIGIA KURA LOWASSA KAMA ATAKUBALI KUTEKELEZA HAYA!

11949471_1074469149254201_8142305441229565257_n

Mimi Edward Lowasa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, naapa kuwa endapo nitachaguliwa kuwa rais nitatekeleza ahadi iliyoshindikana kwa miaka mingi ya kuboresha elimu ya mtanzania kwa kufanya yafuatayo:

 • Nitahakikisha walimu wanalipwa Stahiki zao zote kwa wakati.
 • Nitahakikisha madeni yote ya walimu yanalipwa ndani ya mwaka mmoja.
 • Nitahakikisha walimu wanapata teaching allowance and house allowance.
 • Nitahakikisha Mishahara ya walimu inalipwa kulingana na viwango vya elimu ikilinganishwa na kada nyingine kama afya.
 • Nitaweka posho ya kufanya kazi katika mazingira magumu.
 • Nitahakikisha kila mwanafunzi anakalia dawati/kiti na ana meza.
 • Kila shule itapata computers kwaajili ya kufundishia wanafunzi na somo la computer litakuwa la lazima.
 • Nitajenga maabara ya computer kila shule ya sekondari.
 • Nitaondoa michango yote mashuleni ikiwemo michango ya ulinzi, taaluma, ujenzi//ukarabati nk. Serikali .
 • Nitasimamia sehemu hiyo kwa ustadi mkubwa kuhakikisha walinzi wanalipwa na serikali, shule zinapata walimu wa kutosha, ujenzi/ukarabati unasimamiwa na serikali na unafanyika kwa wakati.
 • kama hayo niliyoyataja hayatatekelezwa ndani ya miaka 2 ya uongozi wangu, nitajiuzuru ili nishitakiwe kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kusema uongo na kuwalaghai watanzania.

……………………………………..

EDWARD N. LOWASA

……………………….

Tarehe

Kiapo hiki kimesainiwa Mbele ya mwanasheria mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

………………………… …..

TUNDU A. LISU

MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

One thought on “WALIMU TANZANIA NZIMA WAAPA KUMPIGIA KURA LOWASSA KAMA ATAKUBALI KUTEKELEZA HAYA!

 1. Iko haja ya kupata nafasi na kutafakari kwa kina juu ya orodha kubwa ambayo kiukweli ikitekelezwa mwalimu atakuwa katika hali nzuri kimaisha. KURA YAKO HAKI YAKO CHAGUA KWA BUSARA NA SI KWA HASIRA.

  Liked by 1 person

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.