Kura yako Utampigia Mgombea yupi Kati ya Hawa? Bofya hapa Upige KURA yako sasa!

11825151_995840847127490_8744406518036325318_n

Timu nzima ya Walimu na Ualimu ina amini kuwa kila Mtanzania ana haki ya kupiga kura kwa kuchagua chama chochote cha siasa kilichopo nchini.

Kulingana na Kampeni zinazoendelea za nafasi ya Urais tunapenda kufahamu wewe mdau wetu kwa namna unavyoona na kusikia sera na Ilani za Vyama hivyo kutoka kwa WAGOMBEA hawa ni yupi unadhani anafaa kuwa Rais na ndie atakae ikomboa ELIMU ya TANZANIA?

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.