Usifanye Makosa haya Utaharibu KURA YAKO!

Elimu+ya+Mpiga+Kura+PHOTO

Kama ulijiandikisha na unatarajia kutumia kitambulisho chako kuwachagua wale wote ambao unawaona wanastahili kuwemo kwenye orodha ya viongozi wa serikali ya awamu ya tano na hutaki kukosea, usifanye mambo 12 yafuatayo:

 1. Usijaribu kupiga kura zaidi ya mara moja.
 2. Usijaribu kupiga kura baada ya muda kwisha.

 3. Usijaribu kupiga kura kwa kutumia kadi ya mtu mwingine.

 4. Usiweke kitu kingine zaidi ya karatasi ya kupigia kura katika sanduku la kuhifadhia kura.

 5. Usichane orodha ya wapiga kura au mabango yoyote ya elimu kwa mpigakura.

 6. Usighushi au kuharibu karatasi ya kura.

 7. Usichapishe na kusambaza karatasi za kura bila mamlaka kisheria.

 8. Usipokee au kutoa rushwa kabla na wakati wa uchaguzi.

 9. Usimzuie mwingine kupiga kura kwa uhuru na amani.

 10. Usitoe siri ya kiongozi aliyepigiwa kura na yeyote.

 11. Usiweke alama yoyote ya utambulisho katika karatasi ya kura.

 12. Usivae au kuonyesha alama yoyote ya chama wakati wa upigaji kura.

 

By Julius Mathias, Mwananchi

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.