Kuelekea Sherehe za Miaka 55 ya Uhuru Tanzania Bara, Desemba 09, 2016!

481677_483728141679693_1155753238_n

Kila ifikapo tarehe 9 Desemba ya kila mwaka, Tanzania Bara huazimisha miaka kadhaa tangu tujipatie uhuru. Mwaka 2011 Tanzania Bara ilitimiza miaka 50 ya uhuru wake.

Mwaka 2015 pia tunajivunia miaka 54 ya uhuru na amani.

Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuijaalia nchi yetu na watu wake heri na Baraka nyingi katika miaka 50 ya kwanza ya uhuru.

Kwa majaaliwa yake tumefanikiwa kuulinda uhuru wetu na kudumisha amani na utulivu.

TUZIDI KUILINDA AMANI YETU, TUSONGE MBELE

 

 

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.