Kusoma Kuandika na Kuhesabu (KKK) – Sehemu ya Kwanza!

DHANA YA KKK

Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) ni msingi katika kujifunza ujuzi na maarifa yote yatolewayo kwa njia ya maandishi.

Mtu yeyote anayekusudia kupata ujuzi na maarifa ya masomo mbalimbali kupitia mfumo rasmi  shuleni, inampasa ajifunze na kuelewa vema  KKK.

10533852_302712236576870_1789663602341715221_n

Dhana ya KKK inapatikana katika masomo yote ambayo yanawasilishwa kwa maandishi.

Watu wengi hufikiri kuwa KKK hufundishwa na inastahili kufundishwa katika masomo ya lugha hasa Kiswahili na English tu, hii si kweli kwa sababu masomo yote hueleweka kwa mlengwa baada ya kupata stadi za KKK.

Ungana nasi katika sehemu ya pili ya Makala hii upate ufahamu zaidi kupitia swali linalouliza;

Je, kuna umuhimu gani kufundisha KKK katika  masomo mengine?

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

2 thoughts on “Kusoma Kuandika na Kuhesabu (KKK) – Sehemu ya Kwanza!

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.