Je, kuna haja ya kufundisha kuhesabu katika masomo ya lugha?

Umuhimu wa kufundisha kuhesabu katika masomo ya lugha

2

  • Kuhesabu ni muhimu kufundishwe tangu mwanzo maana jambo la kwanza mtoto asikialo kwa uhakika ni mapigo ya neno.

Mfano:   Ma-ma, mapigo mawili

Ba-ba, mapigo mawili

Kaa, pigo moja

Kitabu, mapigo matatu

  • Watoto wanapotambua idadi ya mapigo ya neno/maneno Fulani, ni rahisi kuelewa neno hilo na hizi ndiyo  mwanzo wa kuhesabu.
  • Jambo lingine linalothibitisha umuhimu wa kuhesabu wakati wa kufundisha KKK ni utambuzi wa maumbo ya maneno
  • Kwa watu wazima wanaojua kusoma na kuandika wataona ugumu kutambua maneno kwa kuangalia maumbo lakini watoto wanatambua maneno kwa urahisi kutokana na maumbo.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.