Je, kuna umuhimu gani kufundisha KKK katika masomo mengine?

Umuhimu wa kufundisha KKK katika Masomo mengine ni;

11061965_1148180128531281_6636958362218316543_n
1. Katika kufundisha masomo yote tunakutana na herufi na tarakimu ambazo mwanafunzi hana budi kuzitambua zinavyoandikwa na zinavyotamkwa.
Mwanafunzi atatambua herufi zinazoungwa au kuambatana na matamshi ya maneno yenye mkazo au ulaini.
2. Mwanafunzi atajifunza kwa kutumia stadi za msingi za kusoma na kuandika. Stadi hizi hutumika kwa watoto wanaojifunza lugha au masuala mbalimbali kitu chochote

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.