JE! UNAHITAJI KAZI YA UALIMU?

Tangazo la Kazi ya Ualimu.

Logo.jpg

 

Shule ya Awali na Msingi Samali ya mchepuo wa Kiingereza iliyoko Kahe, Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro, inatangaza nafasi za Kazi ya Ualimu kwa ajili ya masomo yafuatayo:

Hesabu, Kiswahili, Kiingereza, Haiba na Michezo ( PDS), Maarifa ya Jamii (Social Studies), Sayansi na TEHAMA (IT).

Sifa za mwombaji:

  • Awe mtanzania.
  • Aweze kuzungumza na kuandika kwa ufasaha lugha za Kiingereza na kiswahili.
  • Awe amehitimu Chuo cha Ualimu kinachotambulika Na Serikali ngazi ya cheti au diploma.
  • Awe na uwezo wa kutumia lugha ya Kiingereza muda wote akiwa kazini.
  • Awe na upendo kwa Watoto.
  • Awe Na uwezo wa kutumia Kompyuta.

Tuma CV yako pamoja nakala ya cheti chako kwenye email hii: peterflelo@gmail.com

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 07-02-2017.

Watumie wote unaowapenda.

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

One thought on “JE! UNAHITAJI KAZI YA UALIMU?

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.