TANGAZO KUHUSU NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA KWA VYUO VYA SERIKALI NA VISIVYO VYA SERIKALI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/18

Moja ya mikakati ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia katika kuandaa walimu ni kuhakikisha kuwa wanaojiungana  Mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti na Stashahada ni wenye sifa stahiki.

ftyttyt

Kwa kuzingatia hilo, waombaji wa mafunzo haya ni  wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi la Tatu katika mtihani wa kuhitimu Kidato cha NNE na SITA.

Aidha, kutokana na  upungufu mkubwa wa walimu wa Sayansi na Hisabati, kipaumbele katika udahili kitatolewa kwa waombaji waliofaulu masomo haya.

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti na Stashahada kwa mwaka  wa masomo 2017/18.

Masomo yataanza mwezi Julai, 2017.

Maelekezo ya tangazo hili yanawahusu waombaji wa mafunzo  ya Ualimu katika Vyuo vya Ualimu vya Serikali na Visivyo vya Serikali.

MWISHO WA KUWASILISHA MAOMBI NI TAREHE 15/06/2017.

Bofya Hapa kuona sifa, Vigezo na Maelezo ya Jumla kwa kila Kozi: Tangazo la Mafunzo ya Ualimu kwa Mwaka wa Masomo 2017-2018

Author: Sir Gunda

A Friend of Education

One thought on “TANGAZO KUHUSU NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA KWA VYUO VYA SERIKALI NA VISIVYO VYA SERIKALI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/18

  1. Nataka akujua kama mtu amehitimu mafunzo ya ualimu daraja la ¡¡¡ A na ana ufaulu wa GPS ya 3.9 na amekaa uraiani kwa kipindi cha miaka miwili anaweza kujiunga na diploma maana ana sertificate????

    Like

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.