Usuli

Maendeleo katika jamii yeyote yanahitaji elimu bora ili Wananchi wake waweze kushiriki kikamilifu katika kutatua na kupambana na changamoto mbalimbali zinazowakabili kila uchao.

cropped-make-d-world-a-beta-placemake-africa-d-sweetest-plc-to-b1.jpgUandaaji wa Walimu unahitaji uwepo mzuri wa vifaa vya kufundishia, vitabu, njia bora na mazoezi ya kutosha ndani na nje ya darasa.

Kuliona hilo Gunda Foundation Tanzania imeandaa ukurasa huu ili Walimu na wale walio kazini waweze kuutumia kupata baadhi ya mambo ambayo kwa namna moja au nyingine yatasaidia katika ufanisi wa masomo yao na kazi zao za ufundishaji kwa ujumla.

Ubora wa Mwalimu ni miongoni mwa mambo yanayochangia kufanya elimu inayotolewa kwa watoto wetu kuwa bora.

Katika safu hii tutakuletea mfululizo wa mambo mablimbali yatakayomsaidia mwalimu Tarajali na yule alie kazini kuboresha ufundishaji wake.

Usisite kutembelea ukurasa huu www.jiandae.org au Ukurasa wa Facebook Facebook.co/Jiandae mara kwa mara kwani patakuwepo na mambo muhimu ya kujifunza.

Aidha kama utakuwa na Maswali au dukuduku lolote tafadhali usisite kutuandikia kupitia anuani zetu.

Mingoni mwa mambo yatakayokuwa yakijadiliwa kwa undani na ufasaha ni pamoja na namna bora ya;

 • Kuandaa Maazimio ya kazi na Maandalio ya Somo
 • Kufuata Hatua za somo katika ufundishaji
 • Ujuzi na Maarifa ya Somo
 • Njia na Mbinu za kufundishia
 • Ufaraguzi na Matumizi bora kwa Vifaa vya kufundishia
 • Namna ya kujieleza
 • Matumizi ya ubao
 • Utoaji wa Kazi kwa wanafunzi
 • Kudhibiti Nidhamu ya Darasa
 • Haiba ya Mwalimu
 • Utoaji wa Maoni kuhusu somo
 • Maswali na Majibu ya Mitihani iliyopita
 • na habari zingine muhimu kwa maendeleo ya Elimu

Pia Usikose kutembelea UKURASA wetu wa FACEBOOK facebook.com/Jiandae mara zote ujipatie maarifa na taarifa za kielimu.

9 thoughts on “Usuli

 1. Napenda kuwasiliana na nawe moja kwa moja mm ni mwalimu wa math kwa ngazi zote ila linapokuja suala la mbinu za kujifunzia na kujifunza somo la hisabati kweli huwa natatizika , ukweli ukurasa wenu binafsi nimeupenda sana
  natumai kupata mengi kutoka kwako

  Liked by 1 person

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.