Ufundishaji Bainifu

Ufundishaji Bainifu
Ufundishaji Bainifu

Ufundishaji bainifu ni mbinu nyumbulifu kwa ajili ya kuangalia, kuweka kumbukumbu na kutafsiri kile ambacho wanafunzi wamejifunza kuhusu kusoma na kuandika.Ni katika kujua kile ambacho wanafunzi wanakijua ndipo tunapokuwa na uwezo wa kufundisha kile wanachohitaji.

Walimu bora huweza na hulazimika kuwaendeleza wanafunzi wao. Hii ina maana kuwa, walimu lazima wawe na welewa mzuri kuhusu usomaji ni nini. Na ni lazima watambue jinsi gani wanafunzi wanatumia mikakati hiyo.

Walimu husimama kwenye njia panda kati ya nyumbani na shuleni, kati ya usomaji katika familia na usomaji shuleni, mwanzoni mwa sfari. Mwalimu lazima aelewe maarifa ya wanafunzi wanayoleta shuleni kutoka katika familia na jumuia zao. Kuhusu sauti za lugha, herufi, maana ya maneno, thamani ya kusoma na kuandika na kadhalika.

Aidha walimu lazima wawe na busara katika namna ya kuyatumia maarifa hayo ili kuleta mabadiliko katika ufundishaji na ujifunzaji darasani.

“kama mwalimu, ili kujua wapi pa kuanzia kufundisha, lazima ujue nini mwanafunzi anaweza kufanya”

One thought on “Ufundishaji Bainifu

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.