Sheria za Kazi

Kufanya Kilicho Sahihi.

Ili nchi iwe na maendeleo ni muhimu kwa kila mwananchi adhamirie kufikia kiwango cha juu cha uadilifu. Hii ina maanisha kwamba tunahitaji kufanya kilicho sahihi daima ili kujenga amani ya watoto wetu, watumishi wenzetu na wananchi wengine.

Katika ukurasa huu tunajaribu kuchukua baadhi ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambazo tunaamini ni za msaada kwa mwalimu kwa ajili ya kufanikisha wajibu wake.

Sheria za nchi zipo nyingi na upatikanaji wake ni wa shida na kwa mwalimu ambaye hayuko maeneo ya mjini inazidi kuwa ngumu zaidi. Tutajaribu kadri tutakavyoweza kukuletea mambo muhimu ambayo mwalimu anapashwa kuyazingatia na mwalimu kama raia mwema wa nchi anapaswa kufahamu sheria zote za nchi na kuzilinda.

Ukurasa huu utakuwa ni kichocheo cha kuwashawishi walimu na watu wengine kuwa na tabia ya kusaka sheria za nchi na miongozo mbalimbali kwa lengo la kuzijua na kutimiza wajibu wao kwa manufaa ya nchi yetu.

Endapo unahitaji ushauri zaidi kuhusu Kanuni za Maadili ya Utumishi wa Umma tafadhali wasiliana na Ofisi ya Raisi, Menejimenti ya Utumishi wa Umma.

Anuani:

Ofisi ya Rais,

Menejimenti ya Utumishi wa Umma,

S.L.P. 2483, Dar es Salaam.

Tovuti: http://www.estabs.go.tz

Barua pepe: permsec@stabs.go.tz

Simu: 2118531/4

Fax: 2125299

One thought on “Sheria za Kazi

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.