Mbinu za Kufundishia Stadi za Kazi – I

 Sehemu A

 • Eleza sifa za bata bora wa kufugwa Kuna aina ngapi za pasi katika mchezo wa mpira wa mikono?
 • Ni vifaa gani muhimu unavyopaswa kuwanavyo unapotaka kujenga msingi wa mawe
 • Eleza magonjwa makuu manne (4) ambayo hushambulia kahawa
 • Eleza mambo manne ya kuzingatia mwanariadha anaposikia “kaa tayari” kabla ya kuanza kukimbia
 • Eleza viambaupishi au vifaa utakavyotumia katika kutengeneza chatine ya nanasi
 • Bainisha sehemu kuu za radio Mwalimu wa michezo anatakiwa awe na sifa za kufundisha somo hilo.
 • Andika sifa tano za mwalimu wa michezo.
 • Orodhesha tabia nne za rangi ya maji
 • Taja aina mbili za malighafi zinazotumika katika kutengeneza vifaa vya kusukwa
 • Tofautisha kati ya michezo sahili na michezo asili
 • Bainisha aina kuu mbili unazoweza kuziweka katika kilimo cha mimea ya mazo.
 • Taja aina nne za maigizo unazozifahamu.
 • Ainisha sifa nne za jiko.
 • Orodhesha vifaa vinne muhimu katika michezo ya mipira.
 • Nini maana ya masoko?
 • Taja faida mbili za kutarizi.

Sehemu B

 • Eleza hatua utakazofuata wakati unamfundisha mwanafunzi wako wa darasa la saba mada ya upigaji wa dari la nyumba
 • Mambo gani yanaweza kumsaidia fundi saa kutambua kasoro ya saa?

Sehemu C

 • Eleza tofauti kati ya nusu noti na robo noti katika muziki
 • Fafanua kanuni/mwongozo wa kutumia njia ya maswali na majibu kama mbinu mojawapo ya kufundishia somo la stadi za kazi.
 • Taja makundi ya ala za muziki na kila kundi taja mfano mmoja na kabila moja au mkoa ambamo ala hizo hutumika zaidi
 • Vifuatavyo ni vifaa mbalimbali vinavyotumika kutengeneza bidhaa mbalimbali za kusokota. Kwa kila kifaa taja bidhaa tatu zitokanazo na vifaa hivyo.

a. Nyuzi za mkonge

b. Miyaa, ukindu na miwale

c. Makuti ya minazi

d. Mianzi, matete na usumba

10 thoughts on “Mbinu za Kufundishia Stadi za Kazi – I

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.