Saikolojia ya Elimu – I

SEHEMU A

 1. Kwa nini tujifunze Saikolojia?
 2. Kukua kimwili maana yake ni nini?
 3. Taja nyanja kuu za Kujifunzia.
 4. Eleza matawi matatu ya Saikolojia.
 5. Faida mojawapo ya kunasihi kwa mwanafunzi ni ipi?
 6. Ni mambo yepi yanayoweza kumuathiri mtoto kabla ya kuzaliwa;
  1. ………………………………………………………………..
  2. ………………………………………………………………..
  3. ………………………………………………………………..
  4. ………………………………………………………………..
 7. Kwa nini tunasema ushauri nasaha hutumia mbinu za kisayansi katika kutatua matatizo ya wanafunzi?
 8. Kwa nini ni muhimu kujifunza makuzi ya mtoto?
 9. Eleza kwa kifupi Mshauriwa kama kiini cha kunasihi maana yake nini?

SEHEMU B

 1. Eleza mabadiliko ya mtoto kati ya miaka miwili hadi mitano kasha ubainishe mahitaji muhimu kwa mtoto wa umri huo.
 2. Tunaposema mazingira bora ya kujifunzia tuna maana gani? Jadili kwa mifano hai.
 3. Ni matatizo gani huambatana na kipindi cha ujana? Eleza na utoe mifano hai inayotokea katika kipindi husika.
 4. Utajuaje kwamba tendo la kujifunza limekamilika kwa wanafunzi wako. Eleza kwa mifano hai katika tendo la kujifunza.

SEHEMU C

 1. Bainisha ukweli uliyopo kuwa ”kuna mmomonyoko wa maadili katika jamii” ukionesha upungufu wa mbinu zinazotumiwa na washauri nasaha katika jamii, mbinu zipi ni bora zaidi na ni mambo yapi yanachangia hali hiyo itokee hasa katika malezi ya mtoto.
 2. Jadili mabadiliko ya kimwili yanayoambatana na umri kati ya miaka sita na kumi na moja.
 3. Nini tofauti ya neno ‘Jinsi’ na ‘Jinsia’ kwa mifano hai jadili.
 4. Utajuaje kwamba mwanafunzi amejifunza kupitia nyanja ya mwelekeo? Eleza.

17 thoughts on “Saikolojia ya Elimu – I

 1. Naomba tusaidiane majibu kwani maswali ni muhimuNaomba tusaidiane majibu kwani maswali ni muhimuNaomba tusaidiane majibu kwani maswali ni muhimuNaomba tusaidiane majibu kwani maswali ni muhimu sana

  Like

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.