Saikolojia ya Elimu – II

SEHEMU A
 1. Kwanini tunajifunza Saikolojia?
 2. Orodhesha matawi manne (4) ya Saikolojia.
 3. i …………………………….. ii.     ……………………………..

      iii. …………………………….. iv.     ……………………………..
 1. Ni katika hatua ipi ya ukuaji wa mtoto kiakili, mtoto anapoweza kufanya majaribio madogomadogo ya kupima ukweli wa nadharia zake?
 2. Taja nyanja kuu za kujifunzia na kuzielezea kwa ufupi jinsi zinavyofanya kazi katika tendo la kujifunza
 3. Kujifunza ni …………………………………………………………………………
 4. Taja aina kuu za makuzi ya mtoto.
 5. Kuna umuhimu gani kwa mwalimu kujifunza makuzi ya mtoto kabla ya kuzaliwa?
 6. Kwa nini Saikolojia ni taaluma ya Kisayansi?
 7. Saikolojia ya Elimu ni………………………………………………………………..

SEHEMU B 

 1. Fafanua aina za matatizo ya wanafunzi yanayohitaji ushauri nasaha.
 2. Kwa nini mwalimu anaweza kushindwa kuwasaidia vijana.
 3. Maendeleo ya Teknolojia yamesababisha matatizo gani kwa vijana.

  SEHEMU C 

   13. Kuna sababu gani ya kuweka ushauri nasaha mashuleni? Eleza.

   14. Bainisha mambo yanayoweza kuathiri ukuaji wa mtoto mchanga.

    42 thoughts on “Saikolojia ya Elimu – II

     1. swali LA kwanza jibu–; tunajifunza saikolojia ili…
      1) tuweze kuwatambua watoto kama wanakua kulingana na hatua zinazotegemewa kiakili kihaiba hata kimaono..
      2) ili tuweze kuandaa mpango wa masomo unaoendana na umri wa walengwa( wanafunzi).
      3) hutusaidia kuwatambua watoto wenye mahitaji maalym..
      4) ili tuweze kutatua matatizo mbalimbali ya watoto..

      swami LA pili matawi ya saikolojia..ni…
      1)saikolojia ya elimu..
      2)saikolojia ya tiba..
      3)saikolojia ya viwanda..
      4)saikolojia ya unasihi….
      5)saikolojia ya kijeshi….na nk…

      Liked by 1 person

      1. swami namba 13 matatizo yanayohitaji ushauri nasaha ni.
       1) tatizo LA wanafunzi kujitenga – wapo wanafunzi wanao tokea katika mazingira mbalimbali kunawanao tokea ktk familia duni hawapendi kujichanganya na wenzao wanaotokea ktk mazingira ya hali ya juu au kipato cha juu hivyo mwalimu huwa na jukumu LA kuwaweka wanafunzi sawa mdawote wawapo ktk mazingira ya shule.
       2) kuchagua masomo – hasa wanafunzi wanapofikia madarasa ya juu inambidi MWL achukue jukumu LA kumshauri kuhusu masomi ya kutilia mkazo ili akifika mbele aweze kufanya vizuri kulingana na uwezo wa mtoto hasa wale wasio penda hesabu..
       NB/ yapo meng sanaaa

       Like

    1. Sw1:Tunajifunza saikolojia ili tuweze kuishi na kupambana na mienendo na Ta
     bia za binadamu na wanyama .
     Sw2:1Saikolojia ya unasihi
     2 Saikolojia ya Elimu
     3 saikolojia ya kijeshi
     4 saikolojia ya Tiba
     Sw3: miaka 4 mpaka 6
     Sw4:(a)kujifunza kwa uzoeshi_Njia hii ni yakujifunza kwa kurudirudia na ivyo kumfanya Mwanafunzi kuelewa na kulipenda somo hasa Mwanafunzi wa darasani la kwanza.mfano mwana saikolojia Pavlov alimtumia Mbwa mwenyewe njaa na kengere ,kwani Mbwa kila aliposikia kengere alihisi anapewa chakula na ivyo wakati mwingine aliambulia kutoka mate tu.
     (b)Kujifunza kwa kuiga(Imitation)Njia hii Mwanafunzi ujifunza kwa kuna mwenzio kafanya nini,ivyo haiwezi MPA maarifa ya kutosha na hutumiwa sana na walimu wa hisabati.
     (C)Kujifunza kwa utambuzi_Njia hii huhushughulisha sana ubongo,katika kutenda,kufikiri,kukumbuka na kupata mawazo mapya.Njia hii ukuza vipaji na kuvumbua kwani huusisha milango yote ya fahamu.
     Sw5:Kujifunza ni kitendo cha kutafuta au kupata maarifa mapya au kuhongezea maarifa uliyokua nayo toka katika vyanzo mbalimbali.
     Sw6:Amina za makuzi ya mtoto ni (I) Kimwili,(ii)Kiakili na (iii)Kitabia.
     Sw7:Umuhimu wa mwalimu Kujifunza makuzi ya mtoto akiwa tumbo ni Kumsaidia yeye kama baba au mama na kusaidia wengine namna ya kumlea mtoto akiwa tumboni ili atakapo zaliwa awe na Tabia na mienendo inayofaa katika jamii kwa kufahamu mambo ya kuzingatia kwa mama mjamzito ,mfano kutokunywa pombe, kuvuta sigara,hasira,chakula vinavyopaswa kutumiwa na kuzingatia kliniki.
     Sw8: Saikolojia ni taaluma ya kisayansi kwa kua inatumia Ugunduzi na uchunguzi katika kubain Tabia na mitazamo waliyonayo watu na jinsi inavyoathiri matendo yao.
     Sw9:Saikolojia ya elimu ni taaluma inayoweza kumsaidia mwalimu tendo zima la ufundishaji na ujifunzaji katika kutatua changamoto mbalimbali.
     SEHEMU”B”
     SW10:Aina ya matatizo ya Mwanafunzi ni ni_(a)Utoro_baadhi ya Mwanafunzi kua na mahudhurio duni kutokana na sababu kama hali ya maisha ya wazazi kukosa mahitaji muhimu kama chakula.
     (b)Uvutaji wa madawa ya kulevya kama bangi _ vijana wapewe elimu juu ya madhara ya matumizi ya madawa ya kulevya.
     (C)Mgonjwa_ mfano ukimwi vijana wapewe elimu kuhusu namna ya kujilinda na kutunza afya zao.
     (d)Mimba za utotoni_ waelimishwe kuhusu madhara ya mimba za utotoni.
     Sw12.Maendeleo ya teknolojia yamesababisha watu hususani vijana kuiga Tabia na mienendo isiyofaa mfano kuvaa mitepesho, kuvaa nguo fupi,pia ndoa za jinsi moja.
     SEHEMU”C”
     Sw12:Sababu za kuweka Ushauri nasaha mashuleni :_kutatua matatizo mbali mbali yanayowakabi hasa Mwanafunzi nakusababisha kuzorota tendo la Kujifunza linalowe na ivyo kushusha taaluma mashuleni.
     Sw13:Mambo yanayoweza kuathiri makuzi ya mtoto ni1: mazingira ,2: malezi,3: Makundi.

     Like

     1. Nashukuru Bwana Laurent karibu sana na ukitaka kuwa unapata habari za moja kwa moja tafadhali bonyeza sehemu iliyoandikwa “Folow Blog Via Email” kitufe kimeandikwa FOLLOW mkono wa kulia kolam ya pili basi ukibonyeza utapata fursa ya kuweka email yako na kila kitu tutakachoweka humu utakipata moja kwa moja katika email yako

      Like

    Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

    Fill in your details below or click an icon to log in:

    WordPress.com Logo

    You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

    Google photo

    You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

    Twitter picture

    You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

    Facebook photo

    You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

    Connecting to %s

    This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.