Nukuu za Somo

NUKUU ZA SOMO

Hizi ni kumbukumbu zinazomuongoza mwalimu wakati wa kufundisha somo. Mwalimu baada ya kupitia rejea mbalimbali, ataandaa nukuu ambazo ni muhtasari wa maudhui y akila mada atakavyofundisha. Nukuu hizi hazina budi kufuata mtiririko wa mada za somo husika.

UMUHIMU WA NUKUU ZA SOMO

  • Nukuu za somo ni muhimu kwa mwalimu anayejali kazi yake. Faida za nukuu za somo ni kama ifuatavyo:
  • Humwezesha mwalimu kutumia maudhui aliyoandaa mahsusi kwa kuangalia dondoo zake
  • Humfanya mwalimu kukumbuka alichokisahau au alipokwama wakati anapofundisha
  • Humsaidia mwalimu kuwapa wanafunzi muhtasari au kumbukumbu za somo
  • Humsaidia mwalimu kuelewa mahali alipofundisha na kazi alizowaachia wanafunzi
  • Humsaidia mwalimu kuonesha uelewa wake kuhusu mada hiyo na jinsi alivyowaelekeza
  • Humsaidia mwalimu wakati wa kuandaa andalio la somo

4 thoughts on “Nukuu za Somo

Usikae kimia sema kitu juu ya nukuu hizi

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.